Tuesday, July 29, 2008

TUTOKE na J-SQUARE!

Hii ni special kwa wadau wote wa MITINDO na MAVAZI bila kusahau zile SHERIA zetu za MAVAZI....napenda kuwapa nafasi TUTOKE pamoja kuelekea J-SQUARE CLASSIC - Talk of the City...tukajitoe kishkopa na pamba za kukwatua kwa mitoko, ofisini na kwa ajiri ya muonekano wako wa kipekee kwani J-SQUARE CLASSIC is "Where Quality Meets Perfection". Ni ndani ya jiji la D'Salaam, maeneo ya Kinondoni mkabara na Hugo House pembezoni mwa barabara kuu ya Kinondoni, karibu na Hunters Club.Kwa maelezo zaidi ni text (or Chat) Mzee wa Tutoke - EriQueM kwa barua pepe: misnomerxox@gmail.com, misnomer_xox@yahoo.com au misnomer_xxx@hotmail.com.Karibuni Sana!!!

No comments: