Tuesday, June 3, 2008

Ze Comedy's new deal...

Mkurugenzi Msaidizi na Mchekeshaji wa Kundi la Ze Comedy, Emmanuel Mgaya au Masanja (kulia)akizungumza katika mkutano na waandishai wa habari Dar es Salaam juu ya mkataba mpya wa kundi hilo na kituo cha Televishen cha TBC1.Kulia ni mmoja wa wasanii wa kundi hilo, Sylvester Mjuni au Mpoki.Pia kundi hili limetangaza kuwa chini ya ulezi Yusuf Manji na linataraji kuondoka nchini kueleka Afrika Kusini kwa mafunzo zaidi ya mwezi mmoja.
For more visit Food For Thought

No comments: