Friday, May 16, 2008

Miwani Miyeusi


Mtunzi : Sultani Tamba

Muongozaji : Sultani Tamba

Waigizaji : Flora , Sihaba, Simba, Latifa, Uledi.

Utangulizi:
Utaangalia maisha ya mtu mpole mwelewa na mwenye alama zote ya ubinaadamu lakini nyuma ya pazia ni mtu anaye tatanisha watu ushenzi anaoufanya una sababisha bifu zito baina yake na marafiki zake upande mwingine utaangalia mapenzi ya Vijana wanavyoumiwa na tabia za ngoja ngoja.Ni sakata la Sihaba mkaka aliekuwa anaonekan mpole rastafari anavunja ndoa ya mshikaji wake, anamuua mpenzi wake kama hiyo haitoshi anamdhulum mshkaji wake na kujaribu kumuua mwisho wa siku wanaungana wabaya wake na kuamua kumsaka hata hivyo Sihaba anawazidi nguvu na kuwaua.

No comments: